Ahahahaaaa noma sanaWapiga kura... View attachment 965884
Oya nipo serious sijui nieleweshe basi
Wapiga kura wanashangaa suruali inapanda juu na kuacha viatu vyekunduWapiga kura... View attachment 965884
Hiyo tai na koti alikuwa anavipenda sanaWapiga kura... View attachment 965884
Hii mic sijaielewa vizr ipo kama kiazi choma au Nkapa alikua analamba koni?
Hahahahaha!!!Ahahahahaaaa kama ya kuchonga hivi
Kirefu chake nini?Ni kumbukizi ya mambo yaliyopita