Jamiix
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 936
- 659
Wanabodi,
Kuna hili nimeliona muda mrefu la bidhaa za TBL hasa baadhi ya vinywaji vyao(Bia), sana sana bia aina ya Safari, Kilimanjaro.., kila ukifungua mfuniko husika (kifuniko, kizibo) unakua na kutu nyingi upande wa ndani na sehemu zinazoshika chupa ambayo hujaa pia kwenye chupa, ni zaidi ya mwaka sasa nakutana na hili,
Je ni TBS wanawaogopa TBL? , ama wameridhika baada ya kuwapa vyeti vya ubora katika kaguzi za miaka ya nyuma?, ama ni TBL hawafanyii kazi malalamiko ya wateja?,
Wizara ya Afya mko wapi katika hili?