Hahahahahahahahahahahahaha.........
Kwahiyo mkuu hivyo vya kwenye picha ndio.vipo mnadani au umeamua kuwachafua tu!!
Watu wa vyuma chakavu hivyo vinawafaa sana.
Mkuu, kwani unalazimishwa kununua?
Nadhani muhusika hapo si TRA, bali TBS ndio wanapaswa kuulizwa kama wameruhusu import ya vyuma chakavu.
Huyo anayeleta used naye anawaletea watu mizigo mibovuMatakataka.
Hilo sio jibu mkuu, biashara ya mtandaoni inahitaji uthibiti kuhakikisha bidhaa ni bora. Mleta mada ana hoja ya msingi kabisa inayohitaji intervention ya vyombo vya serikali.Mkuu, kwani unalazimishwa kununua?
Huko nje wao watakuwa wanaokota tu hawanunuiHivyo ndio vipo wameuza jana. Ndio maana unaona na namba yao wanayotumia kutangaza
Mkuu Kwa uelewa wako ni kuwa mtu hata akiuziwa vitu vilivyoisha muda wake hapaswi kulalamika maana hajalazimishwa.Mkuu, kwani unalazimishwa kununua?
Mkuu , hivi vitu ni nani ananunua? Na wanauza bei gani na mbna kama hayo ni ma screpa tu?? Kuna mtu mwenye akili timamu kweli ananunua vitu kama hvyo?