mzuri homy
Member
- May 24, 2014
- 16
- 1
Jamani mwenye kujua kuhusu update za tbs anijuze. Kwa sababu nimesubiri mpaka basi.
Msaada tafadhali.
Msaada tafadhali.
watu washaitwa kweny interview tayar
Acha kumrusha roho mwenzio. Source insider inaniambia bado
nikisha mrusha roho nafaidika na nini? kuna wakati kuna mambo yanaendelea hapa nchini watu wa nje ya nchi wanayajua na wananchi hawayajui? kaa na hiyo hiyo source yako mkuu.
kuwa serous, huwa lazima watoe kwenye website yao hii ni serikali sio campuni ya kichochoroniwatu washaitwa kweny interview tayar
kuwa serous, huwa lazima watoe kwenye website yao hii ni serikali sio campuni ya kichochoroni