TBS kimenuka interview


Mimi nimekosa qualification moja na wameniita mbona?
 
haihitajiki kunijua mimi, mlinzi wala mfagizi. we jiandae tu vizuri...

uliomba nafasi gani???

Ambapo sihitaj kumjua mtu ni Tanzania hii hii au?
Nliomba hr officer asee, ila uhakika wa kupata 0.09% kulingana na nafasi zilizopo ambazo ni 2 then waloitwa zaid ya 800
 
ndo huo, me nafanya hro pia...kama huamin angalia post zote mtihan kesho mda n tofaut kuanzia sa 1asbh...ndo utaelewa
 
me nili apply kwa kutumia transcript na wameniita kwenye interview

hizo mambo za kusema umetumia transcript au result slip halijaangaliwa ndugu ndio maana unaona umeitwa...

kiufupi ni karibia woote mliotuma mmeitwa walioachwa ni wachache sana
 
Kuna watu wengi sana hapa na baadhi ya ratiba zimechange.
Nafasi ya HRO wameita watu 845 lakn nafasi za Ajira ni 2 tu.
Yaani nafasi 1 inawaniwa na watu 422.
 
ni shidah jamani tupo yombo hall hapa tunasubiri hiyo pepa..nimeapply ass. accountant short list ni zaidi ya 1500 tunatakiwa 4
 
ni shidah jamani tupo yombo hall hapa tunasubiri hiyo pepa..nimeapply ass. accountant short list ni zaidi ya 1500 tunatakiwa 4

Dah yombo four ni kweli ajira no janga la kitaifa
 
Imefika wakati sasa tuangalie upya namna ya kutengeneza ajira. Wahitimu wengi sana na kazi bado zile zile za uhamiaji, na TBS.
 
Namshukuru Mungu nimefanya pepa hiyo salama. kilicho baki ni maombi.

kama nitakuwa sijachanganya kuna uzi ulianzisha ukauliza swali kuhusu huo mtihani natumai umeshapata majibu sasa,
 
Ambapo sihitaj kumjua mtu ni Tanzania hii hii au?
Nliomba hr officer asee, ila uhakika wa kupata 0.09% kulingana na nafasi zilizopo ambazo ni 2 then waloitwa zaid ya 800

Hayo majina mnayaangalia wapi?
 
Mimi nimekosa qualification moja na wameniita mbona?

nafikiri umeitwa coz wanaamini kuwa muda wa kuapply hadi interview utakuwa umeshapata hivyo vyeti wanavyovihitaji sasa ukishindwa tena kuviwalilisha siku ya usaili basi utakuwa hujaqualify, angalizo: ni mtazamo wangu tu
 
TBS waangalie mawasiliano mtandaoni, maoni wayafanyie kazi ipasavyo. Ila uangalifu unatakiwa sana. Kutokana na shida ya kazi, hongo za aina yote zinaweza kuwa ni sehemu ya kushinda usaili na hatimaye kuajiriwa. Foreigners wana pesa na ndo wataajiriwa na WAZAWA masikini wataachwa labda Wachumba au Ndugu. Kazi kwenu Vyombo vya Dola!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…