TBS Bandarini kichaka cha upigaji

Kama mapato ya serikali yanaingia sawa hayo mengine ni yenu,,kwamba unalipa gharama za test,ikifeli mnaongea vizuri ikikubali bahati yako sio?
 
Mkuu umeeleza jujuu sana, kama unaweza kueleza vizuri kilichokukukuta vizuri, ili tujue tujipange na sisi..!! kwamba gari zote hata kama iko poa wanajaza fail?? kwamba wanajaza kwa hila??
 
Mkuu umeeleza jujuu sana, kama unaweza kueleza vizuri kilichokukukuta vizuri, ili tujue tujipange na sisi..!! kwamba gari zote hata kama iko poa wanajaza fail?? kwamba wanajaza kwa hila??
Used car nyingi Lazima uangukie pua sasa wazee wa kazi wanahitaji 'chai' wakupitishie!
 
Wakaguzi ndio wanajitungia sheria
 
Heko mama kwa kuwspiga full stop!!! Magari watengeneze wengine huko Ulaya halafu siye eti tuyakague huku kwetu kweli???
 
Wahuni Sanaa, Yani ni shida kwelikweli kwa waagizaji magari, gari imekauliwa Japan na imethibitika Iko vizuri na inasafirishwa, lakini ikifika nchini unaambiwa haifai? Shenzi Sana
 
Sasa itakuja DBS yaani Dubai Bureau of Standards 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…