View attachment 33966
Nataka kujua tuu hawa TBL hii ni coincidence au ina maana na wao wapo kwenye vita dhidi ya mafanikio ya JK? Maana kwenye kampeni yao ya miaka 50 ya uhuru wameonyesha tulipotoka, tulipopitia, tulipo sasa na tunapoelekea. Lakini mpaka TULIPO SASA wameonyesha mafanikio ya BM tuu, yaani BOT twin towers na uwanja wa Taifa mpya. Ina maana mpaka sas JK hajafanya cha kuonekana?

mwadada UDOM ni Mkapa hata wakati wa ufunguzi jk alimshukuru Mkapa kwa uanzilishi wa ule mradi yeye awanu yake kaja kuzindua tu miradi iliyoanza wakati wa Mkapa. Barabara zote za kuanzia Dodoma kuelekea singida tabora na kigoma, mipango, draft mazungumzo na makandarasi na hata hilo daraja la malagarasi limeanza wakati wa Mkapa yeye kaja ku finalise tu. hamkumbuki wakati ule magufuli anaahidi mabarabara ya lami toka mtwara hadi bukoba unakwenda kwa tax? jamaa yetu labda hiyo barabara ya sumbawanga mpaka mpanda inayofadhiliwa na MCC.Jamani du! Kuna aliyofanya yanaoneka ndungu.mf ujenzi wa udom.ingawa mdau anakabiliwa na changamoto nyingi sana.