Hello wanaJF, TBL Dar walitoa nafasi za kazi(Technical trainee) mwezi wa nane, je wameshafanya shortlisting na wameshaita watu kwenye interview?. wenye taarifa naombeni mnijuze pliz.
Hawajaita. Ila kampuni hii imejaa wachaga sana kama na wewe ni Kimario,kavishe,njau,mariwa,meena,Oriyo,Kamau,kerenge,Gatune,Bund and like basi ujue una chance kubwa ya kuitwa.

mi niliziomba mwaka jana leo ndio wananipi gia simu Wameniambia niende jumatano interview dar plant ila nafikiri hizi zinawafaa sana magraduate wa mwaka huu mie wameshanikosa . Nafikiri wameshaanza kuita NA wajumlisha watu wote wa mwaka jana na mwaka huu.
Nafikiri hujaelewe ninachosema. Ina maana ni wachaga tuu ndio wamesoma? Nenda TBL angalia jinsi walivyojaa kina mosha,temba etc that trend need to change libya is in Africa, Tunisia revolution started just by one unemployed graduate sets himself on fire. sasa subiri na hapa kinuke ndio utaelewa nachosema