Kituo cha TBC2 kiliponzishwa nilidhani huko ndiko yatapatikana mambo motomoto kama mipira live, bunge live, nk ili kupisha TBC1 ushughulike na mambo mengine ya kitaifa. Hii imesababisha king'amuzi cha starTimes kupoteza mvuto hasa kwa vijanaHivi wew ni timamu kweli utazame TBC..? Mimi nasikilizaga TBC radio tu.tena kipindi cha miziki ya zilipendwa basiiii.........