TBC1 yapewa onyo kali na TCRA

TBC1 yapewa onyo kali na TCRA

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,521
Kituo cha tbc 1 kimepewa onyo kali baada ya mtangazaji wake wa kipindi cha jambo tanzania kukiuka kanuni za utangazaji mnamo tarehe 15.8.2015! Afisa wa Tcra amesema mtangazaji huyo wakati akisoma habari za gazeti la majira na Nipashe alisema habari zilizopewa uzito wa juu ni oil chafu, kitu ambacho hakikuwa kweli bali habari nzito ilikuwa ni mafuriko ya Lowasa huko Mbeya. source patapata WAPO radio. Kadhalika radio ya Magic FM imepigwa faini ya sh.2.5m kwa kukiuka kanuni za utangazaji h/uchaguzi!
 
Mbwa asiye na meno huishia kubweka tu!
 
Ila hiyo hata hao ccm unaowabeba unawaharibia kwa sababu ni ujinga ule
 
tunataka ewula nao wafuate mkondo wa Tcra wawape onyo kali tanesco kwa kukata umeme bila sababu ili kuhujumu upinzani.
 
Tanesco huku Kurasini tayari wameshafanya yao ya kukata umeme kitambo tu.
 
TCRA..CCM..TBCCCM Kesi ya kima unapeleka kwa nyani wakati unajua ni wale wale?TCRA hawawezi kuihukumu tbcccm.
 
Back
Top Bottom