TBC1 warudia tena press ya Dr. Slaa


Mzee kabla ya kuibukia humu umeshafanya utafiti kidogo? Coz yawezekana hayo marudio yamelipiwa. Vyombo vya habari pia viko kibiashara eti.
 

Sio ujinga ndugu, huko ccm wengi ni wazee na mbinu za aina hii wamesoma enzi hizo kwa hiyo kwakuwa zamani wakati watu hawajitambui ziliwahi kufanya kazi wanadhani na sasa zitafanya kazi. Ninachokiona huku mtaani walio wengi ambao ni wapenda mabadiliko wameshastuka na kwakuwa wako na kadi zao za kura wanagonja tu kufanya kweli hiyo 25 october. Slaa kalipwa hela nyingi hivyo inabidi wanarudie rudie kila mara ili wasiwe wameingia hasara, ila sisi tunawaambia tumeishajitambua labda watumie tu goli la mkono.
 
Acha hasira, nyie si mtashinda asubuhi? Confidence yako imeenda wapi?
 
Eee Mungu wa Mbinguni TUNAKUOMBA utuepushe na haya yanayotokea sasa....
Eee mungu kweli hawa watu walikuwa na nia njema nasi kweli?????????????
Ni kwanini ee baba walituthibitishia kuwa wanatujali lakini sasa wameonjeshwa utamu wa ngano kidogo sasa wanataka pipa lote.
Ni kweli baba tunajua hela ilimuuza yesu lakini baba si ni yuda alijuta sana baada ya usaliti????????????????
Tunakuomba uwapige upofu woote wanaopinga mabadiliko na wooote wanaoyapuuza...........
Kwani BABA sisi tumekukosea nini sisi wanao hadi TUISHI NAMNA HII????????
1. GESI NI BEI JUU NCHINI
2. ADA SHULENI HAZIFAI HATA KWENYE PUBLIC SCHOOL TU KUNA WASIOWEZA KULIPA.
3. MAFUTA YOOOOOTE BABA... YA TAA, YA PETROLI, YA KULA N.K BEI NI JUU
4. KODI BABA TUNALIPA KWA KILA BIDHAA.... Yaani mfano baba yetu.. KAMA UNAKUNYWA MAJI ASUBUHI LT 1 UTAILIPIA NA KODI, UKINYWA JIONI BABA KODI NI ILEILE.
5. BABA HAPA NCHINI HATA ULIMEJE SOKO HALIPO NA KAMA LIPO BEI NI YA MKULIMA KUSHIKIWA CHINI NA KUNA WAKATI BABA WANAKOPWA NA HAWALIPWI KWA WAKATI NA WANAPOLIPWA WANALIPWA KIDOGO KIDOGO MPAKA HAWAONI FAIDA YA MAZAO YAO BABA.
6. BABA VIWANDA VYOTE VIMEKUFA BABA, MKOLONI ALIACHA VIWANDA KIBAO NA VINGINE VILIJENGWA NA JK WA KWANZA BABA ILA SASA HAVIPO. KAMA SIO BODABODA HIZI BABA BASI AJIRA KUU INGEKUWA WIZI NA UKABAJI. ILA TUNAMSHUKURU MTUMISHI WAKO MCHINA BABA.... AMETULETEA BODABODA AMBAZO HATA GRADUATE SAS ZIMEWAKOMBOA.
7. BABA MAHOSPITALINI SIKU HIZI UNAPIMWA TU, DAWA UTAJUA MWENYEWE????? NATAKA KULIA NIKIFIKA HAPA BABA ILA KUNA AMBAO WAKIUGUA TU BABA WANAPANDA MAPIPA YANAYOPAA YA MZUNGU, WANAENDA ZAO NJE KUTIBIWA.
8. HIVI BABA ULIKOSEA ULIPOWEKA MADINI AINA ZOTE TANZANIA??? TENA MENGINE YANAPATIKANA HAPA KWETU TU BABA. LAKINI HAKUNA HATA KIWANDA KIMOJA CHA KWETU KINACHOUZA BIDHAA ZILIZOKAMILIKA ZA MADINI YETU DUNIANI....
9. BABA NAONA AIBU KUSEMA KUWA TUNA TEMBO NA VIFARU TANZANIA. TUONEE HURUMA KWASABABU TUMEWAMALIZA WOTE WOTE WOTE. NA WENGINE WANAKWEA HAYO MAPIPA YANAYOPAA KABISA KWENDA NJE.
10. BABA, MTU WA CHINI YAANI TUNAOITWA WA KAWAIDA NCHI HII HATUNA LETU... SUKARI BABA, MIWA IPO TPC KIBAO, KILOMBERO NA KAGERA LAKINI KG YA SUKARI HAAAAAAAA.....
KWAHIYO TUNAKUOMBA UFUNGUE MIOYO NA MACHO YA WAPENDA MAENDELEO NA UFUNGE YA WASIOTAKA ILI IKIFIKA SIKU BASI MZEE WETU EDWARD LOWASSA APITE BABA.
SI NI SAULI ALIUWA SANA WATUMISHI WAKO NA UKAMUONGOA AKAITWA PAULO NA NDIYE MTUME ALIYEFANYA KAZI KUBWA SANA KUKUTANGAZA. SASA KAMA KUNA DHAMBI YEYOTE IMEFANYWA NA MKOMBOZI WETU HUYU WA KIZAZI KIPYA BASI TWAKUOMBA UISAFISHE NA UKAMUWEKE JUU NA WABAYA WAKE WOOOOTE WASHUSHE KAMA ULIVYOWAPANDISHA.
NA WOTE NAOMBA TUSEME AMEEEEN.
 
Too litte too late!! CCM na serikali yake have completely run out of options; short of kuamuru .........................!! otherwise siku zao Magogoni zinahesabika!


 
hawana timing.wangesubiri 2 weeks before ndo waje na hii filamu yao wangetuharibia lakini wamechemka.
 

Kale malimao.
 
Baada ya ukawa kuingia madarakani Tbc itarudi njia kuu sasa hivi iko service road
 


Warudie hata kila siku baada ya habari

Akija kuwajibi lowasa pia warudie
 
Mzee kabla ya kuibukia humu umeshafanya utafiti kidogo? Coz yawezekana hayo marudio yamelipiwa. Vyombo vya habari pia viko kibiashara eti.

Slaa mla mihogo analipia marudio..... Hiyo pesa anaitoa wapi!?
 

Kwa sababu watu wengi wameomba irudiwe tena
Source:Tbç
 
Hata TBC warudie hotuba ya Slaa mara mia, haitubadilishi, Lowassa ndiye Rais wetu! Slaa ni fisadi wa kupora mke wa mtu, hivyo hana utakatifu wowote wa kunyoshea vidole watu wengine na kuwaita wachafu kama choo. Mchafu kama choo, ni yeye mzinzi.
 
Mwaka huu mabadiliko hayazuiliki!Miaka 50 inapotimia inakua Jubilee!
Maana hasa ya Jubilee ni maachilio,kuachiliwa.
Maandiko yanaweka wazi kuwa ikifanyika Jubilee hata kama ulikua na mtumwa sharti umwachie.
Popote duniani inapopita miaka 50 lazima kunakua na mabadiliko yanayotokea,upende usipende.
Hivyo CCM haiwezi tena kuwakalia Watanzania,HAIWEZEKANI NA WASAHAU.
Ukijua majira na nyakati unakua haubabaishwi!
Herode alivyosikia Yesu anazaliwa aliamua kuulizia Mamajusi
 

Wengi hamkumuelewa slaa ile siku wanafanya hivyo kusudi ambao hawakuelewa waelewe vzr na walioelewa dawa iwaingie ipasavyo! Mm mwenyewe nairudia mtandaoni mara kwa mara maana sikuamini yaliyo tokea
 

tunaomba copy and paste huu uzi katika nyuzi zote zinazowahuzu ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…