PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,178
Hata clauds tv wamerudia
kaka hapa Mungu anaanza kutuonyesha mambo yaliyo nyuma ya panzia,
Hivi muda huu saa 5 usiku Tbc (Tv) wanairudia hotuba ya Dr Slaa ya jana .
Jana hiyohiyo mbali ya kumuonesha live na usiku waliirudia hotuba hiyo .
Tbc ambao ni chombo cha Ccm wamegeuza hotuba hiyo mtaji.
Zingatio hapa ni ambavyo Wana Ukawa leo wameanza kujibu mapigo ya Dr , akiwemo pia Rostam Aziz (si mwana Ukawa) nae amemtaka Dr athibitishe madai yake dhidi yake kuhusu kumtishia kifo .
Lakini yote hayo Tbc hawajayatangaza kwenye chombo chao .
Huo ndio uthibitisho tosha katumwa na akinanani
Kwenye Ukweli uongo ujitenga
Kura Lowassa
Sasa tunaanza kujiuliza kulikoni? Jama mmerusha live, mkarudia tena usiku wa jana, leo tena mnarudia tena?
Mbona wakati wa Lowassa kuama CCM kwenda CHADEMA hamkurusha? Na ikizingatiwa huyu alikuwa na wadhifa mkubwa sana katika serikali?
Mbona sumaye alipo ondoka CCM na kujiunga na UKAWA hamkurudia na huyu ni mtu mwingine mzito?
Kwanini Dr. Slaa?
Kuna nini nyuma ya panzia? Ina maana Dr Slaa ni mtu mkubwa kuliko hawa hambao hakuona humuimu wa kuweka habari zao kama mnavyofanya kwa Dr. Slaa?
Naomba kuwasilisha:
Maombi ya watanzania kuwa kipindi kirudiwe ili wachambue mbivu na mbichi bila kuacha hata chembe!!Sasa tunaanza kujiuliza kulikoni? Jama mmerusha live, mkarudia tena usiku wa jana, leo tena mnarudia tena?
Mbona wakati wa Lowassa kuama CCM kwenda CHADEMA hamkurusha? Na ikizingatiwa huyu alikuwa na wadhifa mkubwa sana katika serikali?
Mbona sumaye alipo ondoka CCM na kujiunga na UKAWA hamkurudia na huyu ni mtu mwingine mzito?
Kwanini Dr. Slaa?
Kuna nini nyuma ya panzia? Ina maana Dr Slaa ni mtu mkubwa kuliko hawa hambao hakuona humuimu wa kuweka habari zao kama mnavyofanya kwa Dr. Slaa?
Naomba kuwasilisha:
dk alikuwa mstari wa mbele kuipinga tbc1 kwa upendeleo wao kipindi cha miaka yote mitano hadi leo 2015. kama mtu ana akili sawa sawa ameshajua dk slaa yuko upande gani katika uchaguzi huu