TBC1 wana matatizo gani leo?

Morigo

Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
35
Reaction score
4
Wadau Mimi natumia Dstv na tangia asubuhi TBC 1 haina Saudi
Sasa sielewi ni hujuma nisisikie Escrow au la?
 
yaan hii TBC ckuhz uhalo mtupu tena ushuzi kabisaaa, hata mm asubuh kabla cjaja kazin nime-tune lkn nikashangaa no saut
 
Mkuu mimi nilijua ni tatizo la runinga yangu. Nimehamia dialotv naona iko ok kabisa.
 
Mkuu naangalia kutumia cable inayo sauti nadhani ni hitirafu kwako.
 
Wadau Mimi natumia Dstv na tangia asubuhi TBC 1 haina Saudi
Sasa sielewi ni hujuma nisisikie Escrow au la?
TBC iko poa mkuu hapa naona na mpakato wangu full charge na salio
 
tbc ipo hewani mkuu.na bungen yupo mwenyekiti zungu
 
huku bagamoyo kwa jk wameshachukuwa chao.
 
Nahisi kama leo nitashtukiwa na boss hapa ofisini ninapoperuzi kila dakika. Lakini hata yeye anachukia sana ufisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…