Tbc1 na frequency mpya

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Wakuu habari za muda huu natumai mko poa,tbc wamebadilisha masafa yao kwa tangazo walilolitoa juzi ila sikubahatika kuzipata hizo frq maana nilipata tangazo linamalizika hivyo kama kuna aliyebahatika kuzipata ninaomba msaada wake.
 
hamna lolote hiyo frequency nimejaribu imekataa
 
hamna lolote hiyo frequency nimejaribu imekataa[/QU Imekubali iko hewani sema tatizo bado liko palepale signal qualty iko chini ila nimeibadilisha kwenye ungo wa ft6 kwa risiva ya mediacom910+new imekubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…