TBC1 na Channel Ten vituo vya TV vinavyoongoza kwa ufanisi

Hizo ni TV ni za ccm hazina mvuto zimebakia kutizamwa na wanavijiji na wazee wanaozeeka vibaya pekee
 
Hizo ni TV ni za ccm hazina mvuto zimebakia kutizamwa na wanavijiji na wazee wanaozeeka vibaya pekee
Ni wewe tu usiyejitambua ndiye usiyeangalia, lakini sisi wastaarabu, wasomi wa nchi hii ndio TV ambazo zina mwelekeo wa maadili ya Kitanzania
 
Tibisi ukweli na uhakika

Channel ten,kilicho bora zaidi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unanikumbisha miaka ya nyuma kulikuwa na yule jamaa " Bingwa wa reverse " kama unamuwakilisha basi naunga mkono hoja
 
Ni wewe tu usiyejitambua ndiye usiyeangalia, lakini sisi wastaarabu, wasomi wa nchi hii ndio TV ambazo zina mwelekeo wa maadili ya Kitanzania

Ni kweli, sasa hivi maadili ya kitanzania ni unafiki na kumsujudia jiwe. Na hizo Tv ndio zinapandikiza kwa kasi huo ujinga ambao ww unauita maadili ya kitanzania.
 
Hakika nivituo bora sana hasa kile kipindi cha mshindo wa miaka 4 ya Rais JPM,kinanifanya ni tafakari sana na hali halisi ya mtaani wanyonge tunavyo kula mboga za majani kama mbuzi
Teh teh umenichekesha!

Lakini mkuu mboga za majani ndiyo mpango ujue. Mimi niliwahi kusepa kwa ndugu yangu kutokana na mapishi ya mke wake..yaani hawali mboga kabisa. Mafuta tele, ni wanga na nyama kwa kwenda mbele. Nikaona ulaji wa hovyo..nikaleta excuse nikasepa zangu.
 
Kudagadamdesa walahi!!!???
 
Very true, TBC1 wako vizuri sana wale jamaa contents kali, graphics kali, habari zao zinabalance vyama vyote dah, Wanastahili kupata tuzo ya superbrand afrika mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…