TBC1 hawaeleweki

TBC1 hawaeleweki

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
252
Reaction score
145
TV yetu ya amma haijatutangazia kabisa yaliyojiri leo Dar, kuhusu maandamano ya Chadema. Kwa nini hawa jamaa wanatunyima habari? Wametuchagulia tuone habari za CCM tu! Hivi TBC1 wanajua wajibu wa chombo cha umma?
 
Si Mkurugenzi wao Mshana yupo busy na huo mkutano wa MAGAMBA kule Dodoma!!!!
 
Bado unawaangalia hawa jamaa, afadhali enzi ya TIDO MHANDO, sasa hivi hamna kitu hapo imebaki ibadilishwe iwe mali ya CCM moja kwa moja au iungane na UHURU
 
...wana kamera chache jamani..na zilikuwa bado zipo dodoma, wangefanyaje sasa.Oooh...na cDm si walitangaza "bifu" nao!
 
tuchotakiwa ni kutumia nguvu ya umma kuinyima BAJETI! Tuone wataiendeshaje! Au haiwezekani? Si mali yetu au?
 
Ule mchakato wa CHADEMA kuanzisha TV na Redio yao umefikia wapi? Mkuu Tumaini Makene vipi mchakato huo? Watu wanalalamikia TBC kwamba haiwapi habari na dawa ni CHADEMA kuwa na vyombo vyake ili viwapatie habari wananchi wakiwemo wale wa vijijini badala ya kutegemea mtandao tu kama huu wa JF.
 
Ndugu mleta mada, mbona Tv stesheni ziko kibao sana? Delete hiyo stesheni toka kwenye decoder yako ili usilalamike tena!
 
if u want to become a person full of foolish grin keep on watching tbc 1.
 
Wakubwa bado mnaangalia TBC?me kitambo coz ni mali ya CCM sio ya umma.Naomba watanzania wenzangu muachane na TBC.Ziko nying za ukwel sio ya wapumbavu!
 
TV yetu ya amma haijatutangazia kabisa yaliyojiri leo Dar, kuhusu maandamano ya Chadema. Kwa nini hawa jamaa wanatunyima habari? Wametuchagulia tuone habari za CCM tu! Hivi TBC1 wanajua wajibu wa chombo cha umma?

Achana Na TBCCM, ni tv ya mafisadi.
 
ITV na Star tv hawakuonyesha? kwa sisi tulio madongo kuinama hatuna access nazo
 
TV yetu ya amma haijatutangazia kabisa yaliyojiri leo Dar, kuhusu maandamano ya Chadema. Kwa nini hawa jamaa wanatunyima habari? Wametuchagulia tuone habari za CCM tu! Hivi TBC1 wanajua wajibu wa chombo cha umma?

Who pays the piper calls for a tune. Hahaaaa. Wait for a new payer for a different tune mkuu
 
TV yetu ya amma haijatutangazia kabisa yaliyojiri leo Dar, kuhusu maandamano ya Chadema. Kwa nini hawa jamaa wanatunyima habari? Wametuchagulia tuone habari za CCM tu! Hivi TBC1 wanajua wajibu wa chombo cha umma?

Mkuu siku hizi siyo tv ya umma wala si TBC bali ni TBCCM
 
TV yetu ya amma haijatutangazia kabisa yaliyojiri leo Dar, kuhusu maandamano ya Chadema. Kwa nini hawa jamaa wanatunyima habari? Wametuchagulia tuone habari za CCM tu! Hivi TBC1 wanajua wajibu wa chombo cha umma?

Mkuu siku hizi siyo tv ya umma wala si TBC bali ni TBCCM yani ni gonjwa la taifa
 
Back
Top Bottom