Kuna jamaa alitukana "ms e n' ge" bila kijua kama anasikika live. Yaani sijui msimamizi wa matangazo anafanya kazi gani humu ndani.Nakupongeza uyeanzisha thread hii. Nilipoingia jamiiforums leo nilikuwa naingia kuanzisha thread kuhusu ubovu wa upigaji picha na zile sauti za watu wakizungumza wakati watangazo yanaendelea tbc. Hakuna haja ya kutoa maelezo zaidi ya kusema upigaji picha ni hafifu mno na sauti za mazungumzo yasiyohusika. Kitu kingine ni ukatikaji wa matangazo hayo mwanzoni. Umetokea sana.