TBC wamezima tusione Bunge

ngoja nisubiri bunge lijalo ambapo spika atakuwa wa UKAWA
 
Kwann bunge liwe na spika,naibi spika,mwenyekiti wote kutoka ccm wakat bunge lina vyama tofauti? Inatakiwa kiongoz mmoja wapo atoke upinzani
 
WEZI Wa rasilimali zetu.wanabeba kwa rumbesa kama kawaida yao.mazingira yanaandaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…