TBC Vipi?

TBC Vipi?

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,721
Reaction score
515
Matangazo ya Bunge yanaendelea zaidi ya dk 30 bila sauti - Arusha. Hii ni nini sasa incompetence au?
 
labda walichokua wanajadili kwa muda huo hamkutakiwa kusikia watanzania. c unajua hata kwenye nyimbo hv kama kuna matusi au... Huwa wana mute.
 
bora nyinyi huko mna ngeleja product!
 
naona toka tido muhando asepe,tbc wanayumba sana katika maswala mengi ikiwemo na production(mwanga,sauti,ubora wapicha n.k)
 
Kwa bongo hiyo ni michezo ya kawaida sana na pia hata hao watangazaji wa tbc sametime niwazushi tuuu c kiaani kwetu hatuwakubili ki ivyo sana man?
 
bana tbc mnaniboa na russia today haina habari jaribuni japo bbc,aljazira,skynews wakati wa usku wa manane RT suck
 
Kwa bongo hiyo ni michezo ya kawaida sana na pia hata hao watangazaji wa tbc sametime niwazushi tuuu c kiaani kwetu hatuwakubili ki ivyo sana man?
Ndiyo shida ya kila kitu kinapokuwa kinaendeshwa kisiasa.
 
kati ya wa2 ninao wazimia Tido yumo, hv kaenda wp toka tbc?
 
Back
Top Bottom