M Mike 1234 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2009 Posts 1,633 Reaction score 156 Aug 28, 2013 #1 Nashindwa kuwaelewa TBC mbunge Nasari anachangia hoja Sauti haitoki kulikoni? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Nashindwa kuwaelewa TBC mbunge Nasari anachangia hoja Sauti haitoki kulikoni? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,182 Aug 28, 2013 #2 Mike 1234 said: Nashindwa kuwaelewa TBC mbunge Nasari anachangia hoja Sauti haitoki kulikoni? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums Click to expand... naona ni kampango mkakati cha uongozi wa bunge kushirikiana tbccm, pale mtu wa chadema atakapo simama na ikaonekana ataivua nguo serikali ya ccm niku [mute] naona sasa kwa mkosamali wametoa [mute] haaaaaaaaaa,
Mike 1234 said: Nashindwa kuwaelewa TBC mbunge Nasari anachangia hoja Sauti haitoki kulikoni? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums Click to expand... naona ni kampango mkakati cha uongozi wa bunge kushirikiana tbccm, pale mtu wa chadema atakapo simama na ikaonekana ataivua nguo serikali ya ccm niku [mute] naona sasa kwa mkosamali wametoa [mute] haaaaaaaaaa,
bombah987 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 218 Reaction score 51 Aug 28, 2013 #3 Wamenishangaza sana, cjaweza kumskia kabisa nasari ila mkosamali wamemwachia😡
J jigoku JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,411 Reaction score 733 Aug 28, 2013 #4 Mike 1234 said: Nashindwa kuwaelewa TBC mbunge Nasari anachangia hoja Sauti haitoki kulikoni? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums Click to expand... Sasa hivi anaongea mbunge kutoka CUF,Magdalena Sakaya sauti inasikika.ni mipango ya kipuuzi ya tbccm.
Mike 1234 said: Nashindwa kuwaelewa TBC mbunge Nasari anachangia hoja Sauti haitoki kulikoni? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums Click to expand... Sasa hivi anaongea mbunge kutoka CUF,Magdalena Sakaya sauti inasikika.ni mipango ya kipuuzi ya tbccm.
M mzee wa 3 JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 288 Reaction score 37 Aug 29, 2013 #5 Bado mnaangalia tbccm?mi hi channel nishaiacha hata kama ni bunge c angalii wapuuzi 2!