Mi ni mpenzi wa TBC taifa.Na chanel zao zingine.
Tatizo nikifungua TBC nikisikiliza baada ya muda mfupi unakuta chanel zingine zisizo za TBC zinaingilia kati.
Inanipa tabu sana kurekebisha kila mara.
Je frequency au masafa yenu mmeyakaribisha na masafa mengine?
Leo jioni nilikuwa nasikiliza pwagu na pwaguzi ghafla ikaingiliwa
Naomba muangalie hili
Sasa hivi nilikuwa nasikiliza kipindi cha maswali na majibu ya dini ya kislamu ghafla baada ya muda nikaingiliwa na chanel moja wanaongelea mpira nimeboreka sana maana ku tune kupata kipindi ikashindikana