Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,547
- 139,883
Mkuu,kwanini wasitumie Kiswahili?Mwenye Nyumba Anatumia Kiswahili,ni Kwanini wa Chini Yake Wasikitumia!
Kuna Shida?Duh....
Asante mkuu, tuko pamojaSpika wa Bunge Job Ndugai anaonyeshwa sasa TBC 1 katika kipindi cha This Week in Perspective. Hiki ni kipindi kinachotumia lugha ya Kingreza na huongozwa na Ndugu Simbeye. Katika kipindi cha leo anahojiwa juu ya tathmini yake katika bunge la sasa.
Kipindi kinaendelea......Ndugai anaongelea jinsi alivyounganisha bunge hili lenye wabunge wa UKAWA na wa vyama vingine, anaeleza kwa Kingreza. endelea Kutazama
Unakifahamu hiki kipindi? Kinaitwa This week in perspective... Ni cha kingerezaMkuu,kwanini wasitumie Kiswahili?Mwenye Nyumba Anatumia Kiswahili,ni Kwanini wa Chini Yake Wasikitumia!
Kuna Shida?
Hakika CCM ni zao la viongozi wasomi na wanaojua mambo mengi kitaifa na kimataifa! Natamani wiki ijayo wamwite KUBENEA au SUGU wamhoji kwa kingereza tuuh kama hatosimama na kuanza vijembe anaweza akasahau ata yupo kwenye maandamano!Spika wa Bunge Job Ndugai anaonyeshwa sasa TBC 1 katika kipindi cha This Week in Perspective. Hiki ni kipindi kinachotumia lugha ya Kingreza na huongozwa na Ndugu Simbeye. Katika kipindi cha leo anahojiwa juu ya tathmini yake katika bunge la sasa.
Kipindi kinaendelea......Ndugai anaongelea jinsi alivyounganisha bunge hili lenye wabunge wa UKAWA na wa vyama vingine, anaeleza kwa Kingreza. endelea Kutazama
DoltHakika CCM ni zao la viongozi wasomi na wanaojua mambo mengi kitaifa na kimataifa! Natamani wiki ijayo wamwite KUBENEA au SUGU wamhoji kwa kingereza tuuh kama hatosimama na kuanza vijembe anaweza akasahau ata yupo kwenye maandamano!
NNa mbuge wa mtera nae tusimsahauHakika CCM ni zao la viongozi wasomi na wanaojua mambo mengi kitaifa na kimataifa! Natamani wiki ijayo wamwite KUBENEA au SUGU wamhoji kwa kingereza tuuh kama hatosimama na kuanza vijembe anaweza akasahau ata yupo kwenye maandamano!
Watu walikuwa wanadili vizuri tu sasa unaleta UCCM, hizi akili bana khaaaaaHakika CCM ni zao la viongozi wasomi na wanaojua mambo mengi kitaifa na kimataifa! Natamani wiki ijayo wamwite KUBENEA au SUGU wamhoji kwa kingereza tuuh kama hatosimama na kuanza vijembe anaweza akasahau ata yupo kwenye maandamano!
Hii lugha matata sana, Ndugai katulia anaongea kwa tahadhari sana, hatikisiki no swagz, unyenyekevu mwingi, msikivu sana.Huwezi amini kama huyu ndiye aliyemtandika mtu rungu wakati wa kampeni mpaka akazimia. Sina hakika kama katulizwa na lugha ama vipi.
Sugu yuko vzr dogo kakaa sana mbele kwa taarifa yako.Hakika CCM ni zao la viongozi wasomi na wanaojua mambo mengi kitaifa na kimataifa! Natamani wiki ijayo wamwite KUBENEA au SUGU wamhoji kwa kingereza tuuh kama hatosimama na kuanza vijembe anaweza akasahau ata yupo kwenye maandamano!
Duh!Hii lugha matata sana, Ndugai katulia anaongea kwa tahadhari sana, hatikisiki no swagz, unyenyekevu mwingi, msikivu sana.Huwezi amini kama huyu ndiye aliyemtandika mtu rungu wakati wa kampeni mpaka akazimia. Sina hakika kama katulizwa na lugha ama vipi.