Kwa wakati huu ni kam kurudisha mishale ya saa yako nyuma na kuamini muda wako ulioutega mwenyewe. kama TBC haitangazi wengine watatangaza na ujumbe utawafikia watu ila cha kufanya ndio hawana masikini wanabaki kusikitika tu na jinsi ya kuchagua viongozi hawawezi. watakaoteketea wapo na watakaobaki wapo mpaka utakapofika wakati wa kupata viongozi wa kweli na makini.
Mwanzoni nilikuwa namheshimu Tido kwa kuwa na maadili safi ya uandishi na utangazaji kumbe ni bure kabisa nashangaa alikuwa akifanyaje kazi BBC. Nimekosa autobiography yake ningeipachika hapa!
Mwanzoni nilikuwa namheshimu Tido kwa kuwa na maadili safi ya uandishi na utangazaji kumbe ni bure kabisa nashangaa alikuwa akifanyaje kazi BBC. Nimekosa autobiography yake ningeipachika hapa!
Huja jua kuwa binadamu hubadilika kutokana na mazingira??
Alikuwa BBC na profile yake ilikuwa safi sana karudi home sasa sijui ndio ule ule usemi wangu njaaaaa hizi njaaaaaa mmmmh itatufikisha pabaya.
Kuna mwa JF mmoja hapo juu amesema tido na marine ipo siku watakuaj hukumiwa kwa kuipotosha democrasia kwa kubeba sana CCM na hayo mtu ameangali ni future sasa sijui watu huangalia alama za nyakati au watu hufanya mambo na kuichezea sheria na katiba ya nchi kuwa huko mbeleni wata hepa??
Hivi Upinzani wakishinda October, Tido na timu yake watakimbila wapi? If that's what he does, he should do it really good na CCM washinde la sivyo he is in for big trouble!
Wakuu jana nimeangalia TV na hilo tangazo nimeliona sina uhakika kwa leo! Ila ni noma kwelikweli maana inaonesha ni kwa jinsi hali ilivyo mbaya kwa wadanganyika wakati rasilimali tena lukuki tunazo!! Ni kweli kabisa TZ ni nchi tajiri, lakini why kwanini tuendelee kuwa maskini wa kutupwa????:confused2::confused2::confused2::mad2::mad2:
Lilikuwa linaendelea mpaka lini, tunaweza kuwauliza Policy Forum. Siku ya Ijumaa wiki hii, watakuwa na Breakfast debate pale British Council kuanzia saa moja na nusu asubuhi mpaka saa tatu na nusu assubuhi, Hapo tunaweza kupata jibu sahihi. Kwaa anayetaka kuhudhuria fuata hii link hii http://www.policyforum-tz.org/files/flyerMay2010.pdf
kujua zaidi kuhusu Policy Forum nenda: http://www.policyforum-tz.org/node/5451.