TBC wameanzisha channel mpya inaitwa safari Tv. Hili ni wazo jema na zuri sana. Tatizo ukiingia kwenye menu inaonekana kama safari tv ila Tv yenyewe inasoma au inaonekana kama Tanzania safari. Sasa hapa tushike lipi. Ni safari Tv au Tanzania safari?
Sent using
Jamii Forums mobile app