TBC Ni Televisheni ya Taifa?

TBC Ni Televisheni ya Taifa?

Toosweet

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2012
Posts
2,140
Reaction score
1,982
Kwenu,

Katika hali ya kushangaza jana TBC hawakutangaza habari ya kiongozi mkuu wa upinzani nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kuachiwa

Kada maarufu wa CCM "Bollen Ngetti" ni mmoja wa watu waliolaani kitendo hicho na kuitaka TBC kama chombo cha habari cha Taifa ijitathmini upya. Unazungumziaje hii mdau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TBC sio ya kikabila au kivyama inatangaza mambo ya kitaifa tu yenye maslahi kwa Kila mtanzania labda ulipie kutangaza mambo yako binafsi ya kichama,kidini ,harusi,kitchen party nk
 
Kwani Mbowe kashinda kesi au kapata tu dhamana?!!
 
TBC sio TV ya Taifa, ni TV ya CCM.
Kwenu,

Katika hali ya kushangaza jana TBC hawakutangaza habari ya kiongozi mkuu wa upinzani nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kuachiwa

Kada maarufu wa CCM "Bollen Ngetti" ni mmoja wa watu waliolaani kitendo hicho na kuitaka TBC kama chombo cha habari cha Taifa ijitathmini upya. Unazungumziaje hii mdau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee ropokwa tu
kati ya makosa walofanya ccm ni kuua taasisi za umma kwa kujaribu kuzifanya kuwa mali za chama, mfano vyama vya msingi vya ushirika, viwanda, ranchi za taifa na shirika la ndege leo CCM haohao wanamtafuta mchawi pasikujua TBC kama chombo cha umma wanaenda kukifanya kuwa kama tv ya mazoezi ya mlimani tv.. shame kwa wasomi wa tanzania kwa kuziba masikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bavicha Nchi nzima mnatutangazia Kuwa huwa hamtazami TBC Na ma nasema wanaotazama TBC Ni ma CCM sasa sie ma CCM hatuzitaki habari Za Wahuni wahuni zichukue Muda wetu tuache kusikiliza Habari Za Maendeleo

Mkitaka Habari Za Mbowe Zipo channel Na Mitandao kibao zimeonesha
 
Kwenu,

Katika hali ya kushangaza jana TBC hawakutangaza habari ya kiongozi mkuu wa upinzani nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kuachiwa

Kada maarufu wa CCM "Bollen Ngetti" ni mmoja wa watu waliolaani kitendo hicho na kuitaka TBC kama chombo cha habari cha Taifa ijitathmini upya. Unazungumziaje hii mdau?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tbc ni chombo cha propaganda cha ccm inafanya kazi kwa maagizo kutoka Lumumba na ikulu huyo ryoba hana mamlaka yoyote hapo msimlaumu bure ameamua kuziba masikio na kuamua kuendekeza tumbo kama wasomi wengine walivyoamua kupumzisha akili zao na kuamua kumtumikia bwana ili kuganga njaa.
 
TBC sio ya kikabila au kivyama inatangaza mambo ya kitaifa tu yenye maslahi kwa Kila mtanzania labda ulipie kutangaza mambo yako binafsi ya kichama,kidini ,harusi,kitchen party nk
Bora ile channel ya wanyama yenyewe huwa naitazama..
 
TBC ni moja ya aibu za wazi kabisa zinazoweza kuonwa na mgeni yoyote anayekuja Tanzania
 
Back
Top Bottom