Totalman
Member
- May 30, 2013
- 40
- 10
Nilidhani kuwa TBC ni chombo cha walipa kodi wote wa Tanzania na hivyo wanapaswa kuweka a level playing field hasa katika kuripoti taarifa za kisiasa. Tofauti na matarajio ya walio wengi chombo hiki kimekuwa kikiripoti mikutano na ya ccm tu kama inavyoonekana kwenye tovuti yao Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC) , sasa nauliza TBC ni mali ya nani??????????, Je ni sahihi wao kuendelea kuegemea chama kimoja tu ili hali ni chombo cha watanzania wote??????