Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
Habari wana jf,
Wana tabia ya kurudia habari mbili au tatu kwa siku nzima. Utayarishaji wao ni mbovu na usiyo na kiwango kabisa hasa tabia ya kurudia rudia picha ambazo mara nyingine huganda na kuwa kama picha mnato.
Pia tabia ya utafsiri sisisi usio wiana huku msomaji huwa kama anakimbizwa wakati wa kutoa habari. Kama hawawezi bora waacha kuliko kulipua!