Unajua ukicheza na mbwa utaingia nae msikitini, mimi sioni kwa nini Mgaya na Mkoba wasionyeshe njia kwa kuwafungulia kesi mahakamani tuone sasa kama Clouds kama kampuni itakuabali kuingia garama za mawakili kwa upumbavu wa kibonde na Habash, useless people hujui hata kama ni vijana ama wazee maana wamechoka kuliko wale wazee wa kikwete waliokuwa waki oyee pale diamond. Angalia sura zako mipauko