Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,763
- 819
Habari za usiku wana jf. Nafikiri wengi tutakuwa tumeona kwenye taarifa za habari toka jana nimeona taarifa ya habari picha zake ni za black and white, au ndo maendeleo baada ya Tido kuondoka. Au ni technolngia ambayo mimi siifahamu. Naomba maoni. Source tbc1.