Walipaswa kuwa Mtwara wakirusha matangazo mubashara siku nzima ya leo mpaka kimbunga kitakapopita.
Kwa maoni yangu nilidhani hii ilipaswa kuwa taarifa ya Kwanza au hata pale chini kuwe na maandishi yanatembea ambayo yanatoa update ya mambo yanayovyokwenda
Mubashara ni exclusive kwa ajili ya Mr Jiwe tu, hata bunge haliruhusiwi.Walipaswa kuwa Mtwara wakirusha matangazo mubashara siku nzima ya leo mpaka kimbunga kitakapopita.
Unaweza ona namna ambavyo tunashindwa na vitu vidogo vidogo kama hivi. Matokeo yake raia wamebaki mitandaoni wakirushiana picha za Msumbiji kwa kuwa hakuna mahali sahihi pa kuweza kupata kinachoendelea Mtwara na lindi kwa sasa.Yah Coz kama wao ndio chombo cha serikali ndio inatakiwa wananchi wapate habari ya ukweli na uhakika kutoka kwao ila dah, hatari sana
Mubashara watakuwa baadae wakati ambapo Stoney Tangawizi atakapowasili MbeyaWalipaswa kuwa Mtwara wakirusha matangazo mubashara siku nzima ya leo mpaka kimbunga kitakapopita.
Yah Coz kama wao ndio chombo cha serikali ndio inatakiwa wananchi wapate habari ya ukweli na uhakika kutoka kwao ila dah, hatari sana
Umeeleza vyema mkuu, yaan wao hawataki mwananchi wa kawaida awe chanzo cha habari ni mpaka awe mkuu wa wilaya, mkoa nkKwa kumbukumbu zangu mambo yote ya aina hiyo(majanga) TBC sio kipaumbele chao.
Nakumbuka mabomu ya Mbagala,Gongolamboto,Kuzama kwa Meli kwenye mkondo wa Nungwi(MV Islander) Tetemeko la Kagera, kuzama kwa kivuko kule Ukara. Kwa uchache ..TBC inakua ya mwisho kuripoti.
Inaanza kuriport pale kiongozi fulani anapokua amekwenda eneo hilo.
TBC kipaumbele chao ni kung'arisha kazi za serikali na watendaji wake sio shida za watu.
Very Sad
TBC ni wehu tu kama unajihangaisha kutegemea habari kutoka kwao utaachwa sanaKuna mambo hiki chombo chetu cha habari kinafanya kwa kweli kinavunja moyo sana
Leo kuna swala la kimbunga huko Mtwara, serikali ya mkoa mpaka imetangaza leo watu wasiende makazini, na vyombo vikubwa vya kimataifa vyote vinaongelea swala hilo hilo la kimbunga
Cha ajabu sasa naangalia taarifa Dira ya mchana sijaona taarifa yoyote ikisema swala hilo zaidi ya taarifa za mikoa mingine
Kwa maoni yangu nilidhani hii ilipaswa kuwa taarifa ya Kwanza au hata pale chini kuwe na maandishi yanatembea ambayo yanatoa update ya mambo yanayovyokwenda
Sidhani kama kuna mtangazaji wa hiyo channel anaweza kwenda tv station nyingine akaweza kufanya kazi za kiushindaniTBC ni wapuuzi na mikamera yao uchwara kama simu za mbao za mwaka 47!!!
Picha mbovu full mchele mchele, habari za ajabu zisizovutia.
Mbaya zaidi hawataki kubadilika. Ukiwapa maoni, wanapaniki mbaya!!
Cc Dr Ryoba!
Jamaa wana tia mihasira sana alafu hawashaurikiMkuu bdo unasumbukaga tu na hao TBC wenzako tushawakimbia muda mrefu sanaaaa, angalia BBC News ama Aljazeera mkuu.