TBC mnatia aibu sana

Na wewe ulikuwa unaitazama ya nini?
Wajanja wote walisha achana nayo!!
 
Matatizo mengine ni ya kujitakia tu. Kwanini kuangalia huo upuuzi ilhali vituo vingine vya kijanja 'walau vipo?
 
halafu watangazaji hawana mvuto wanapaka mafuta mengi usoni kama andazi khaaaaa
 
Kwani umejua leo Tbc imeshuka sana mpaka taarfa za habari siku hizi watu wengi wanaangalia kupitia ITV
 
halafu watangazaji hawana mvuto wanapaka mafuta mengi usoni kama andazi khaaaaa
Hahahahahahaha....
Aisee nmecheka sana..Tatizo la nchi yetu wafanyakazi wengi WA serikali sio wabunifu. Wanajua Kodi ya kuwalipa mishahara IPO so hata asipobuni kitu mshahara upo pale pale..Aka shamba la Bibi.
Ila inauma sna kuwa Na TV ambayo Ni mfu
 
Hee Umenikumbusha
TBC
Utadhani wako kwenye majaribio
 
Wanaonyesha vipindi vya ndoa noma sana hii
 
Hao akina Dr Rioba mtawaonea tu, tatizo kubwa ni ccm, ccm haijawahi kuwa mfano mzuri toka kuasisiwa kwake
 
Mh!!! mbona picha zina ubora na habari zinarushwa vizuri tu ... au wewe unaangalia ile TBC ya zamani, wamebadili jina sikuizi ni Clouds TV ndio hiyohiyo iliyokuwa TBC ...

Nafkiri hiyo channel ya zamani kwa jina la TBC inawezekana wamesahau kuifunga, Serikali hawaitumii tena sikuizi, pia hata ile ya Chama Chetu naona nayo imeunganishwa inarushia matangazo yake kupitia Clouds FM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…