Hao TBCCM mnawaonea Bure kwani hapo walipo wanaumwa ugonjwa unaoitwa kitaalamu " TECHNOPHOBIA ", kwa ufafanuzi zaid tafuta maana ya neno technophobia utanielewa.Hao jamaa hawataki kubadilika, wamedumaa (in Mswiga's voice).
Ile waliyotengeneza wanafunzi wa primary china??!!!Na wanamitambo ya maana sana walipewa na serikali ya china, hawa jamaa hawaeleweki
Nadhani mkuu maana najua vimetoka China tuIle waliyotengeneza wanafunzi wa primary china??!!!
Yaaani ukiangalia tbc picha zao utadhani za 1800,hadi channel ten wametushinda,Ayubu Rioba sijui anafanya nini pale!!Nadhani mkuu maana najua vimetoka China tu
Hahaha labda anaangaliaga chereko au BangoMambo mengine bana,
Sasa kweli mkuu unaangalia TBC ili iweje,
ujue kuna vitu vingine bhana hata ukiwa unatoa hoja mpaka mwenyewe unakuwa unajishangaaHahaha labda anaangaliaga chereko au Bango
Labda hawapewi hela za kuboreshea hiyo mitambo?Kwa kweli mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matukio kadhaa yanayokuwa yakirushwa live na hii television yetu ya Taifa
Kwa kweli ubora wa picha zake ni jambo linalokera na kufadhaisha sana,hasa ukizingatia kwa sasa kuna television binafsi ambazo kiukweli picha zao zina ubora wa hali ya juu
Shirika hili kama yalivyo mashirika mengine ya serikali, yamekuwa yakipokea ruzuku toka serikalini
Wanashindwaje kushindana na vyombo binafsi?
Na tena TBC inaongozwa na nguli na msomi wa tasnia ya habari hapa nchini Dr Ayub Ryoba, kwa kweli jitahidini kubadilika
Mnatutia aibu kama Taifa
Atakuwa na tatizo huyu siyo bure, kama mwenye nchi mwenyewe haangalii sebuse yeye?Mambo mengine bana,
Sasa kweli mkuu unaangalia TBC ili iweje,
Hapo sasaAtakuwa na tatizo huyu siyo bure, kama mwenye nchi mwenyewe haangalii sebuse yeye?
Mkuu kuna watu wanatafuta matatizo bure.Hapo sasa
Eti nimekaa kabisa naangalia TBC TAIFA aiseeMkuu kuna watu wanatafuta matatizo bure.
Kama mwenye tv mwenyewe haangalii wewe mtu baki lazima utakuwa na matatizo sana.Eti nimekaa kabisa naangalia TBC TAIFA aisee
Tanzania Beer Company
Nini kirefu cha tbc