Mnapiga sebene kiwango duni halafu mnategemea washiriki wacheze vizuri?Hivi msipoharibu huwa hamjisikii raha?Halafu acheni kucheza wimbo mmoja mnaharibu sana kipindi na halafu kwa nini msiruhusu washiriki wenu wachague nyimbo za kucheza?Nafuatilia kipindi lakini mmetuudhi sie watazamaji.
kipindi hakina ubunifu kabisa,yaani mziki ni low quality kupitiliza ma judge hawajui mziki hawatoi ciomment za kitaalamu as if walikurupushwa kuja kwenye kipindi judge amabe naona anajielewa ni yule rasta tu wengine wote hamna kitu