TBC mnajua maana ya live?

TBC mnajua maana ya live?

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,947
Reaction score
254
Usiku mnapiga muzic na logo yenu mnadisplay live..hamuoni? Mpo wafanyakazi wangapi na hamuoni?
Aibu nyie uploadfromtaptalk1374786009731.jpg
 
umejitafutia mwenyewe pressure kwa kuangalia TBCCM
tv za kuangalia ziko nyingi
 
Hapa hauko sawa, kipindi kiko live ndio maana umeambiwa tuma sms jaribu kuelewa au maana ya live umezoea kuona mpira au ndondi au malumbano ya hoja?
 
Back
Top Bottom