TBC mliwezaje kutangaza live mikutano ya Prof Kabudi kule Marekani na Sweden lakini mnashindwa kuonyesha Afcon?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,955
141,942
Kuna uzalendo gani zaidi ya watanzania kuwashuhudia timu yao ikilipigania taifa kwa kupitia Tv ya taifa?

Ni kwanini TBC hawakuyapa umuhimu mashindano haya ilhali kombe la dunia ambalo Tanzania haikushiriki walionyesha tena live.

Leo zimechangwa sh milioni 370 kwa ajili ya kuisaidia Taifa stars huu ni uzalendo lakini TBC mnazingua.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mmeipenda wenyewe! tulia hivyo hivyo dawa ikuingie

tbc mpaka uzinduzi na mikutano ya ikulu! Pathetic
 
vyote vina umuhimu kwa sababu vinawahusu watanzania lakini cha prof.Kabudi kina umuhimu mkubwa zaidi kwa nchi na maendeleo yetu
 
!
!
Sasa Afcon Tunaenda Kushiriki Tu Haturudi Na Point Hata Moja. Hata Huyu Propesa Aliyekuwa Akiishi Jalalani Wote Wale wale Tu. Pipa Na Mfuniko Kama Vipi
 
Jamani anayejua hii kitu AFCON atueleweshe ili tupate pa kuanzia kutoa maoni
 
Alafu mnambiwa changieni timu...
Mnachangia kitu ambacho hamkioni...ikicheza

Ova
 
Mbona televisheni yetu ya Taifa Azam Utv itatuletea matangazo mubashara! Tangu warudishe taarifa yao ya habari kwa sasa tbc siangalii chochote! TBC ni televisheni ya chama cha mapinduzi na serikali ya Magufuli. Maudhui yake kwa kiwango kikubwa yameegemea huko.
 
For sure wanaonesha uzinduzi tu na miradi iliyojengwa...kwa jasho LA RAIA ikipigwa nembo ya jembe na nyundo
 
Ivi kumbe kuna watu bado mnaangalia TBC?!!!? Seriously????:oops::oops::oops:
 
Back
Top Bottom