isyesye Member Joined Aug 14, 2016 Posts 51 Reaction score 22 Aug 18, 2017 #1 tunawashukuru mmetuonesha live mapokezi ya hawa wadogo zetu walokuwa wanatibiwa marekani. lakini ubora wa picha zenu unatutia aibu jamni sometimes picha haionekani vzuri mnunue camera bora zaidi.
tunawashukuru mmetuonesha live mapokezi ya hawa wadogo zetu walokuwa wanatibiwa marekani. lakini ubora wa picha zenu unatutia aibu jamni sometimes picha haionekani vzuri mnunue camera bora zaidi.