Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 701
TBC ni chombo cha Watanzania saizi Watanzania wapo makazini wengine mashambani, viwandani wanafanya uzalishaji ili taifa letu liendelee, hayo maandamano yenu hayana tija kwa taifa letu sisi watanzania tunaipongeza TBC wasisumbuke na hayo maandamano ya wahuni, wao waendelee kuonyesha vipindi vya kilimo kwanza Watanzania wajifunze, Hii ni TV ya Taifa sio ya CHADEMA, CCM, CUF. TLP, NCCR MAGEUZI, nyie
Chadema si mnapokea ruzuku nyingi ebu acheni kugawana posho za maandamano mlipie TV hayo maandamano yenu yaonyeshwe live
TBC ni chombo cha Watanzania saizi Watanzania wapo makazini wengine mashambani, viwandani wanafanya uzalishaji ili taifa letu liendelee, hayo maandamano yenu hayana tija kwa taifa letu sisi watanzania tunaipongeza TBC wasisumbuke na hayo maandamano ya wahuni, wao waendelee kuonyesha vipindi vya kilimo kwanza Watanzania wajifunze, Hii ni TV ya Taifa sio ya CHADEMA, CCM, CUF. TLP, NCCR MAGEUZI, nyie Chadema si mnapokea ruzuku nyingi ebu acheni kugawana posho za maandamano mlipie TV hayo maandamano yenu yaonyeshwe live
Lakini Kumbuka jumatano walitoa taarifa ya wale wazee wa chama cha magamba Rukwa wakiandamana kumpongeza Raisi au huo haukuwa muda wa kazi sema ni wabaguzi na bora wasituonyeshe kwa sababu hata wakionyesha wataonyesha matawi ya miti na mima mbeya,wapo wazalendo bwana Channel Ten,Star TV na ITV watatupasha habari na kufuta kiu ya wananchi ya kupata habari zinazohusu jamiiTBC ni chombo cha Watanzania saizi Watanzania wapo makazini wengine mashambani, viwandani wanafanya uzalishaji ili taifa letu liendelee, hayo maandamano yenu hayana tija kwa taifa letu sisi watanzania tunaipongeza TBC wasisumbuke na hayo maandamano ya wahuni, wao waendelee kuonyesha vipindi vya kilimo kwanza Watanzania wajifunze, Hii ni TV ya Taifa sio ya CHADEMA, CCM, CUF. TLP, NCCR MAGEUZI, nyie Chadema si mnapokea ruzuku nyingi ebu acheni kugawana posho za maandamano mlipie TV hayo maandamano yenu yaonyeshwe live
TBC ni chombo cha Watanzania saizi Watanzania wapo makazini wengine mashambani, viwandani wanafanya uzalishaji ili taifa letu liendelee, hayo maandamano yenu hayana tija kwa taifa letu sisi watanzania tunaipongeza TBC wasisumbuke na hayo maandamano ya wahuni, wao waendelee kuonyesha vipindi vya kilimo kwanza Watanzania wajifunze, Hii ni TV ya Taifa sio ya CHADEMA, CCM, CUF. TLP, NCCR MAGEUZI, nyie Chadema si mnapokea ruzuku nyingi ebu acheni kugawana posho za maandamano mlipie TV hayo maandamano yenu yaonyeshwe live
Kama chanel kumi hawajaonyesha sembuse hili dubwana liitwalo tbc? Vyombo vyote vya habari vimetekwa isipokuwa jf tu!
Nayo ipo mbioni Kuchakachuliwa Mkuu! Dalili zi wazi.