Nafikiri hiki ni kituo hafifu kuliko vituo vyote hapa nchini, yaani unaona Mtu anaongea Mara ghafla unaona kaachama mdomo na haufungi tena, acheni hizo nyie!Chereko chereko ndiyo wapo vizuri.
Hii si TV ya Taifa ni vuvuzela la chama tawala ndo maana walioona mbali wakajiweka kando!Hivi hii TV ya Taifa Ina Tatizo gani, yaani hawawezi kukaa hewani kwa hata dakika 30. Je ni mitambo imechoka au ni Mitambo ya kutoka china, ebu jirekebisheni mnatutia aibu sana Watanzania.
Halafu kuna yale maandishi Yao huwa wanaandikaga wakishachemka" Ukweli na Uhakika. Kwani hawawezi kuyabadili?, yanaboa Vibaya.Hii si TV ya Taifa ni vuvuzela la chama tawala ndo maana walioona mbali wakajiweka kando!
Hawana ubunifu.Nafikiri hiki ni kituo hafifu kuliko vituo vyote hapa nchini, yaani unaona Mtu anaongea Mara ghafla unaona kaachama mdomo na haufungi tena, acheni hizo nyie!