illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Salaam,
Binafsi ni msikilizaji mzuri wa hiki kituo kwani nakuwa napata mziki niupendao.
Nakereka sana na kaka mmoja ambaye ana fanya kipindi chake kuanzia saa tatu mpaka saa sita (sina lengo baya naye) ila hii ni aibu kwa kituo cha taifa.
Huyu kaka analazimisha lafudhi ama niseme ana "fake accent". Pili ana matatizo ya 'r' na 'l' ukiachilia mbali grammar. Mbaya zaidi inapofika saa sita, kabla ya kukabidhi kipindi kwa Rahma Kipozi, anasoma taarifa ya habari. Pale ndiyo aibu unapokuwa na mgeni na anataka kusikiliza habari kwenye kituo cha taifa kwa lugha ya malkia.
Wahusika lifanyieni kazi..