Watangazaji wa TBC international wanaongea broken English kuliko hata Sizonje

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Wakuu nasikiliza 95.3FM kwa Dar es Salaam TBC-International haijajiandaa watangazaji wanaongea Kiingereza kibovu sana kwa kweli ni tofauti sana na Capital Redio na Kiss FM hawa vijana wanaonekana wamewekwa ni Incompetent hasa kuongea Lugha ya Malikia Elizabeth.
 
Chombo cha umma kinapoingia kwenye ubaguzi na ushabiki wa kisiasa ndio huzaa matokeo hayo

Na msomi yeyote anayetumia nafasi yake ku save political interest zake na sio ku base kwenye fact amekwisha!!!!
Na jamii yenye uelewa humpuuza kama wanavyopuuzwa wapuuzi wengine.
 
Rahima kipoz yupo vzur anamzid hata uyo Sizonje
Rahma kipoz mmoja wa watoto watatu wa marehem kipoz,gwiji wa utangazaji aliepata kutokea tanzania,,,watoto wasanii wa mziki toka mwaka 1997 walioanza kuimba kwa kiingereza Tanzania hii miaka hyo,,wameishi japan kwa mida kidogo,,na nchi tofauti tofauti,,,kiingereza kwao sio cha kujifunza bali wanaongea kutokana na mazingira,so usiwafananishe na wengine
 
Back
Top Bottom