mh....... Mwendabure...zz!!!!!!!Mkuu hongera! Huku niliko mgao umepitiliza umekuwa jigawo. Ila kuhusu TBC kujivua gamba nina shaka inaweza kuwa ni danganya toto. Tafakari utagundua kitu hapo, hawendi bure hao ipo namna si bure.
Wadau ninaangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku,ninaona TBC1 wamecover maandamano ya CHADEMA mkoani shinyanga kwa muda wa kutosha na kwa kurudia rudia ile video,Je hii inaashiria TBC1 imejivua .gamba na kuanza kuzitendea haki kodi za watz kinyume na ilivyozoeleka kubania habari kama hzo?
NDIO MKUU NIMEONA HILO BUT I CHOSE TO SAY 'THE CUP IS HALF FULL THAN TO SAY THE CUP IS HALF EMPTY' we are yet to see kama kuna mabadiliko.Mkuu hukuona kwamba leo walikuwa na matatizo ya kurusha matangazo wakati wa taarifa ya habari? Hukuona ambulance iliyokuwa inampleka hospitali mbunge aliyeanguka ilitokea kwenye habari nyingiiine! Hukuona habari za mataifa mbalimbali zikiparaganyika na kusitishwa kisha zikasomwa tena? Huenda wamekosea usiwape big up kwa leo tu.
kwa sababu kuna mgao wa umeme wachache watatizama /wadau ninaangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku,ninaona tbc1 wamecover maandamano ya chadema mkoani shinyanga kwa muda wa kutosha na kwa kurudia rudia ile video,je hii inaashiria tbc1 imejivua .gamba na kuanza kuzitendea haki kodi za watz kinyume na ilivyozoeleka kubania habari kama hzo?
Amepata kazi wapi mkuuBaada ya kusikia Mhando kaula palipo na haki!!
Ukurugenzi-Ajazeera idhaa ya kiswahili..source JF hapahapaAmepata kazi wapi mkuu
Amepata kazi wapi mkuu
Wamesoma alama za nyakati