We naye uko tbc? Huelewi nini hapoWw ndiyo umechemka
Rais wa kwanza wa South Africa ni nani
TBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.
Nimesikia wakimtaja:
MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL
Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.
Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?
grace machel aliolewa na mandelaukumbuke mjane grace machel alikuwa wa mandela
Tbc wameingiza vilaza wengi walikuwa awatangazi nafasi za ajira
ushawai sikia tbc wanatangaza ajira kwa watangazaji ? Na siku mkuu akisema neno atawafutaNdiyo maana hata mwenye station yake anafuatilia habari mawinguni
Kumbe F.W. de Klerk alifuata kwa Mandela?grace machel aliolewa na mandela
Sijakuelewa hapo mkuu? bado mnaubashiteKumbe F.W. de Klerk alifuata kwa Mandela?
Kwahiyo Mandela ndo rais wa kwanza Afrika Kusini???ukumbuke mjane grace machel alikuwa wa mandela
Sijui kama hata anamjua De Klerk... Na kama hamjui huyo wala hawezi kumjua Peter Botha...Kumbe F.W. de Klerk alifuata kwa Mandela?
Huyo ni mke wa mandela ww umemkariri winWe naye uko tbc? Huelewi nini hapo