Hiyo ni tetesi au ndiyo umeshamaliza. Post yako ni kama una madata unataka kutujuza kumbe hamna kitu. Mgogoro unaweza kuwepo kwa maana hii, ule mkataba kati ya Star times na TBC1 hatujui umekaaje na kwa vile unaonekana kufanikiwa sasa mdudu anaweza kujiingiza hususani Tido Mhando kama ataonekana kutoridhika kimaslahi hususani kwa jinsi walivyomtimua kama nionavyo mimi.