TBC aibu tupu

siasa kila mahali nchi hii ya ajabu
sijawahi sikia, hakuna aliye sirious hata mmmoja
 
Tido Muhando alianzisha Shirika Hili kwa Moyo wake wote,na Mwelekeo Ulikuwa unaoneka,alifanya Kionekane Chombo cha Walipa Kodi,lakini hivi sasa amewekwa **** mmoja pale kwakutetea maslai ya serikali tuuuu!!Ila Ukombozi waja Tumeichoka TBC kwangu ni Marufuku kuangalia Station Hii!!

Taarifa nilizonazo tofauti na hili la TBC,Startv watarusha Live ya CDM Ijumaaa(fundraising kwa ajiri ya Kamanda Wetu Nasari)Asanteni startv kwakujua Biasha c Ukada na mlengo wa Upande mmmoja!!
 


achana nao hao mkuu wamefika mwisho wa kufikiri hao, wanaleta mzaha na kodi zetu.. Lakini mageuzi yatakuja tu hata wafanyeje... Huwezi kuzuia jua lisichomoze hata siku moja...
 
King cobra umenena vyema ila tuweke kumbukumbu sawasawa. Aliyeengeneer mapinduzi ya tbc ni Lowasa na wala si JK. TENA AMEKIRI HADHARANI KABLA NA BAADA YA KUVULIWA GAMBA. Ndiye aliyemconvice Tido aje bongo. by the hivi Tido na Al Jazeera imeishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…