MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
Bado wanaendeleza siasa zao za kifisadi na kuficha mambo muhimu kwa wananchi. Ukiona hivyo ujue kuna move inafanyika pale Bungeni ya ambayo hawataki watu waione live kwa sababu ni aibu kwa serikali. Lakini wamefanya hivyo purpose kabisa. Mtasikia baadae moto uliowaka huko.
Nimepata tetesi kuwa kuna karatasi imepitishwa mle Bungeni na imesainiwa na wabunge zaidi ya 2/3 kuwa hawana imani na PM. Sasa hivyo move ni kali kwelikweli haiwezi ikawekwa LIVE. Tusubiri.
Hili la vazi la taifa wadau linakera,hiz ghalama za kulitafta ukijumlisha na zile za miaka 50 ya uhuru zingetosha kuongeza mshahara wa madaktari.
watalivaa wenyewe hilo vaziccm wanataka kuvaa sasa wapendeze, ni mapema sana ukilnganisha na matatizo tuliyonayo
we ni raia wa nchi gani?Ni aibu kubwa sana kwa Taifa au jamii kukosa vazi la taifa ambao ndio unakuwa utambulisho wenu mnapokuwa ndani au nje ya mipaka ya nchi yenu.
Hebu nitazameni mimi hapo kwenye avatar yangu nikiwa na vazi letu la taifa. Je kwa vazi hilo si unaweza kujua natoka nchi gani.
Fungukeni na mtafute utambulisho wenu kitaifa na kimataifa.
Hivi na ninyi mlipigia kura hilo vazi ulilovaa?Ni aibu kubwa sana kwa Taifa au jamii kukosa vazi la taifa ambao ndio unakuwa utambulisho wenu mnapokuwa ndani au nje ya mipaka ya nchi yenu.
Hebu nitazameni mimi hapo kwenye avatar yangu nikiwa na vazi letu la taifa. Je kwa vazi hilo si unaweza kujua natoka nchi gani.
Fungukeni na mtafute utambulisho wenu kitaifa na kimataifa.
Lini??Hipo siku kila kitu kitakuwa swari
Ni aibu kubwa sana kwa Taifa au jamii kukosa vazi la taifa ambao ndio unakuwa utambulisho wenu mnapokuwa ndani au nje ya mipaka ya nchi yenu.
Hebu nitazameni mimi hapo kwenye avatar yangu nikiwa na vazi letu la taifa. Je kwa vazi hilo si unaweza kujua natoka nchi gani.
Fungukeni na mtafute utambulisho wenu kitaifa na kimataifa.