mkonomtupu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 441
- 119
Katika utendaji kazi wowote huwa kuna hitirafu inaweza kujitokeza. Mimi mwenyewe nimesikia lakini ni tatizo dogo tu la kiufundi ambalo halikuathiri usikivu wa hotuba ya Mkosamali. Wana JF tusiwe watu wa kulalamikia kila kitu hata vijambo vidogo vidogo kama hili.
Everything national in this country is pathetic.....huwa najiuliza hawa tbc wanafanya kazi kwa niaba ya nani siku hizi??maana hata uhuru wa kupata habari kwa kupitia vyombo vya taifa inakuwa shida nchi hii...hakika tunarudi nyuma kama taifa....ukijaribu kufatilia bunge sessions kwa tbc taifa radio (hata kwa internet)vipindi vya maswali vikiisha nao wanaondoka hewani...cha ajabu ungefikiri wanaondoka hewani ili waje na mambo ya msingi lakini cha ajabu wanakuja na vipindi vya kipuuzi puuzi tu....hata hao watangazaji unaona hamna kitu kichwani...its really pathetic.....hata Zimbabwe wanatuzidi......hawa tbc wanashindwa hata kuonyesha uzalendo kwenye michezo.....mfano sasa mataifa ya africa wanaangalia mechi za kombe la africa kwa kupitia TV zao za taifa...ukitaka kuona kombe la africa bure(free)kwa internet kwa kupitia tv ya zimbabwe(ZBC)unaweza tu.......tv4africa.com...then unafungua ZBC uanapata issue free of charge.....ukija tbc ni aibu tu...very hopeless indeed....katika vyombo ambavyo taifa linaweza kuvitumia kujijenga hata kimataifa ni tv lakini hapa kwetu ni longo longo tu............watu kama ninyi ndio mnaturudisha nyuma kila siku. Kwa nini hayo matatizo yawe TBC peke yao? Kuna thread ya hapo nyuma ambayo inaelezea matatizo ya TBC toka Tido Mhando aondoke pale. Ukweli ni kuwa kwa ilivyo sasa TBC inatuonyesha hali halisi ya waTZ kutokuwajibika hata kwa mambo muhimu ya kitaifa. It is boring to watch TBC news every single day!
Watu wanajichekesha chekesha kama punguani kwenye runinga ya taifa ambayo mimi na wewe tunaichangia. Juzi tu, twiga Stars wanacheza mpira badala ya TBC kuonyesha, wanatuwekea upuuzi wa Bongo flava masaa mawili mfululizo! Jana jioni hata kipindi cha bungeni hakipo, Vipaumbele vyao ambavyo havikosi ni Charechereko, Bango, etc
Kifupi - TBC wanachefua, wanatudhalilisha kama taifa kwa kuonyesha jinsi tulivyo wazembe kama Taifa!!!!!
Katika utendaji kazi wowote huwa kuna hitirafu inaweza kujitokeza. Mimi mwenyewe nimesikia lakini ni tatizo dogo tu la kiufundi ambalo halikuathiri usikivu wa hotuba ya Mkosamali. Wana JF tusiwe watu wa kulalamikia kila kitu hata vijambo vidogo vidogo kama hili.