TBA wapewe jukumu hili Dodoma

TBA wapewe jukumu hili Dodoma

Hahhahàaaa upumuaji huu sio mzuri...
 
Huu ni mmomochoko wa majengo sio maadili tena
 
Wazalendo na wataalamu wa TBA ni kielelezo cha ubora wa mainjinia wetu wa ndani na uzalendo mkubwa walio nao
Vibaraka wa mafisadi na mabeberu wali zoom picha wanazodai ni nyufa za Jpm hostels ili kuharibu jina la wazalendo hawa wa TBA
Wazalendo hawa wamejenga zile hostel kwa gharama ya billion 10 tu na ndo maana wapiga deal wamekasirika maana wao walitaka bilion 90
Wote tumesikia utaalamu waliotumia TBA kujenga hostel zile,ni technic kali yaani HOSTEL ZINAPUMUA,expansion joints
Ni wakati sahihi na uamuzi wa kizalendo majengo yote mapya ya mji mkuu wa dodoma yajengwe na TBA kwa future nzuri ya nchi yetu na gharama ndogo,tena yatapendeza majengo yote mapya yawe yanapumua kwa pamoja

Hii ni kali sana.

MAJENGO YANAPUMUA TBA mnajua Mungu yupo?
 
Wasisahau kuweka expansion joints

Tayari....
Capture-10.jpg
 
Jengo linapumua na kukoroma Teh Teh Teh

Ova
 
Wewe mjamaa kama si mwandishi wa habari basi leo ndio nakuambia kuwa ulipaswa kuwa mwandishi wa habari.
Hata uliowakasirisha kwa uzi huu hawapati mahali pa kukushitakia.
Eti kuna mjamaa expansion joints anaziita Rift valley.
 
Back
Top Bottom