TB Joshua

A-town

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
494
Reaction score
169
Wana jf nimekuwa nikimsikia sana TB JOSHUA lakini sijawahi kuona kipindi chake na sijui ni channel gani kupitia king'amuzi au
 
Mbona kazi ndogo tu! MP Lowasa atakupatia contact zote za T.B Joshua, hata ukitaka nauli anaweza kukupatia.
 
wana jf nimekuwa nikimsikia sana tb joshua lakini sijawahi kuona kipindi chake na sijui ni channel gani kupitia king'amuzi au
emmanuel tv,...by the way wa nini mkuu?
 
Wana jf nimekuwa nikimsikia sana TB JOSHUA lakini sijawahi kuona kipindi chake na sijui ni channel gani kupitia king'amuzi au
emmanuel tv,..by the way wa nini mkuu_mbona hata kwetu wapo tena wengi.
 
Wana jf nimekuwa nikimsikia sana TB JOSHUA lakini sijawahi kuona kipindi chake na sijui ni channel gani kupitia king'amuzi au
Tv yake inapatika Kama una dish lwe na LNB ya KU Band weka frequince 12682 na symborate 26657.
Hapo bila shaka utampata na utafaidika na mengi.
 
Tafuta king'amuzi cha Mediacom. Hakuna kulipia kwa mwezi. Hutajutia kuitazama
 
IGWE
Usihofu wanasema jionee usingoje kuambiwa coz namsikia sana akipigiwa promo sina jipya sana
 
Mediacom inaosha kama bwana mkuu alivyokwambia. Hutajutia. All the best!
 
Je unalo dish linaloshika itv au tbc ? Kama unalo mwite fundi unanunua lnbf ya ku band inauzwa elfu kumi tu atakufungia utapata iyo chanel na zingine nyingi sana zinafika kama 35 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…