Tazara Flyover na Ubungo Road Interchange

Wakati wewe unapanga kujenga Fry over tena moja majirani zetu hapo Kenya walishamaliza hii kazi tena sio moja tu fry over zaidi ya kumi
Jionee hapa ........
 
So ulitaka ianzie Simiyu!?![emoji35] [emoji35]
 
Kuna majiji mengine yametengwa yapo kama mayatima yanajengwa kwa nguvu za wananchi, kila kitu kinaanzia na kumalizikia dar.
 
Hamia Dar kama unataka kuonja vituz. Dar ndo sura ya TZ na siyo huko uliko. Kila kitu laizma kianzie Dar. Endelea na kasi hiyo JPM.
 
we technically si ni mwanaccm wewe? mbona unakuja na lugha za kulalama?

angalia rais wako jana kasema watalii wanafikia kwenye tunchi twa ajabu halafu wanamalizia tanzania.

kumbe sisi ndio kanchi ka ajabu, waliotufikisha hapa Mungu anawaona
 
Dofoma kwenu?
 
Dar iachwe kama ilivyo, imefika pabaya sana kikubwa sitopenda Dodoma nayo iangukie kwenye plan mbovu za mipango miji ilihali CDA wapo pale. Nadhani kuna kitu watafanya katika kuweka miundombinu ya barabara iwe bab'kubwa just like small cities in europe lakini flyovers bab'kubwa utazikuta, mfano ni mji wa Sevilla nchini Espana
 
we technically si ni mwanaccm wewe? mbona unakuja na lugha za kulalama?

angalia rais wako jana kasema watalii wanafikia kwenye tunchi twa ajabu halafu wanamalizia tanzania.

kumbe sisi ndio kanchi ka ajabu, waliotufikisha hapa Mungu anawaona
Mimi chama changu ni Tanzania ........[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji2] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji2] naipenda sana Tanzania kuliko chochote.....
 
Lakini si ni lazima kuanza?? Au unamaanisha alitakiwa kuanza kila mahali kwa wakati mmoja?? [HASHTAG]#WapingaKilaKitu[/HASHTAG] lakini pia angeanza huko unaposema kwa Utimamu wako lazima ungepinga tena.... [HASHTAG]#FisadiKawaHaribuSana[/HASHTAG]
Safi sana
 
Mimi chama changu ni Tanzania ........[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji2] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji2] naipenda sana Tanzania kuliko chochote.....
hahahaaa
 
Jamani nipo serious , Kwa tu picha twa Tazara maendeleo ya ujenzi atupatie sie wa singida tuone na tujivunie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…