Tazama video hizo: Is Diamond Platnum a crackhead?

Huyo ndio Diamond Platnumz, CEO and owner of Wasafi Media, Wasafi Bet, Chota Mihela etc. A person who had every excuse to give up but persisted until he found success.

You can decide whether to hate him or be inspired!
I don't hate him.

He neither own wasafi media nor wasafi bet.

# siwezi kuwa inspired na teja..please accord me some respeck
 
Acha watu waenjoy maisha, muhimu katiba ya nchi imepewa heshima yake
 
He can own your arss. Hater!!

I don't hate him, siwezi kumchukia mtu nisie fahamiana nae.

But mark my words, teja huwa hajifichi mkuu
Utafika muda utakuja hapa kukubaliana na ninacho kisema
 
Tasnia aliyopo mbona kawaida anayofanya hakuna mpya
Angetoa tip grill kama ya nelly ingekuaje
 
Ila sadala anakazi kubwa mno ya kuwarudiaha fans wake. enzi zake akiwa juu huu uzi ungekua page ya mia huko kisa kwa tetezi mbali mbali toka kwa chawa wake
 
Ila sadala anakazi kubwa mno ya kuwarudiaha fans wake. enzi zake akiwa juu huu uzi ungekua page ya mia huko kisa kwa tetezi mbali mbali toka kwa chawa wake
Ameshakufa kimuziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…